Mnaikumbuka SHIHATA? - It could have been useful in National Building | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaikumbuka SHIHATA? - It could have been useful in National Building

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Dec 1, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa na uwezo fulani hivi ningerudisha chombo hiki kwa namna fulani hata ikibidi kama semi-government entity.. Sijui kwanini tuliliua? Ni kana kwamba tulifika mahali chochote cha kwetu tulikiona kibaya na tukashindwa kukilinda na tukakubali kukiua huku tukisubiri "cha kwao" kije.. what is wrong with us? Kama kuirudisha tuirudishe vipi na ikiwa na mandate gani?

  "Mimi ni ... wa SHIHATA... "..!!

  Halafu tulikuwa na watu tunawaita "Shihata"...!!LOL
   
 2. T

  TYRION LANNISTER JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2014
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 207
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  enzi za mzee DAVID WAKATI
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2014
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Shihata kilikuwa kituo cha habari cha propaganda tuu. kukusanya habari za kuichukia marekani na israel na kuipamba Urussi na china. Angola nao walikuwa nayo ilikuwa inaitwa Angop, Msumbiji walikuwa na AIM. ni manchi makomunisti tuu yaliyokuwaga na mashilika ya habari kama hayo ili kupotosha ukweli wa mambo.

  Chombo hicho hakiwezi kurudi hata siku moja, kwa maana kilikuwa kinakula pesa za dezo za serikali.
   
 4. n

  ndewelo JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2014
  Joined: Jan 21, 2014
  Messages: 332
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Unaposema chombo cha kueneza propoganda za kikomunisit vipi unasema nini kuhusu Reuters
   
Loading...