Mnaikumbuka hii?

Mnaikumbuka hii?

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
987
22853037_188192511752197_1513922533764104885_n.jpg
 
Nakumbuka kuna jamaa fulani, simfahamu, alirushwa kwenye media kavaa koti oversized la draft anakunywa kwa madaha kikombe cha "ze old babu"! Sijui alikuwa anagonjoka nini? Well, the time is now and shall tell us nothing but the truth itself!
 
  • Thanks
Reactions: CTX
nasikia wengi walishiriki hicho kinywaji wako mbele ya haki...
hii kitu niliipinga kwa kubishana na mdau mmoja hadi akanichukia.
miti shamba ni dawa ila sio dawa ya kutibu faster
 
2011/2012 kipindi hicho hata sijajiunga JF[emoji19][emoji26][emoji17][emoji20]
 
Kisha tukasindikiziwa na korasi ya mwisho wa dunia.


Mwaka 2011 Ulikuwa wa kufarihisha kweli.
 
nadhani hakuna kipindi loliondo ilipata jina kama kipind hicho,
 
Unastaajabu hii,wakati akina gwajima wamekuja na staili kali zaidi amefufua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom