Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 906
- 2,488
Wanangu tupeane code kidogo hivi nyie mnafanyaje fanyaje mpka mwanamke anakupenda kabisa, kuda dada kila siku lazima ampost mwana ake yaani deile ,kuna ile wegine wanawake mpka wanawagombania hivi nyie mnafanyaga nini mpka inakuwa hivyo?
Au ndio hela?
Au ndio hela?
