Mnaelewa nini kuhusu picha hii wakuu

Mnaelewa nini kuhusu picha hii wakuu

Joined
May 4, 2017
Posts
78
Reaction score
46
a0e0353890e9ec73413450945a4c258a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wana cheza kufata mdundo wangoma

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kila anachokifanya lisu ni kama burudan tu kwa ccm, wao wanaserebuka na maisha yanaendelea.

Ila mpiga kula wake anamshangaa lisu, badala ya kutimiza ahadi zake jimboni. Yeye kutwa kuburudisha chama tawala


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo picha kwa uelewa wangu inamaana hizi
1) Lisu pekee ndie anawapeleka mpute mpute CCM hata kunywa maji hawawezi, yaani wanatamani wasicheze lakini inawabidi waingie ulingoni kucheza hata kwa kujilazimisha tu
2) CCM hawana misimamo madhuhuti, yaani kile Lisu atakachokiongea ndio kinaundiwa tume na kuishia kumjibu, in short Lisu hajawahi kuwaacha Lumumba salama
3) Wanatamani sana kumuunga mkono kutokana na yale anayoyazungumza ila bosi kubwa mbogo hivyo nafsi zinajikuta zikikata mauno tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kipaji kipajini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom