Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1.akioga bafuni nadhan ni tank nzima ya maj anamaliza.anaoga masaa 3(chumvi hii)..ila anaweza achia bomba inamwaga maj had unajiuliza,hiv haya maj si nalipia lakin
2.akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nus saa ndo anakumbuka kua kumbe anapasi.hiv mi si nalipia luku.anaweza fua masaa mashne inazunguka tuu anarudiaa et anataka nguo ingae
3.dem anamaliza sabun huyu dah akiosha vyombo
4.akikaanga kuku sasa au samak,yan kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote,yaan akija jmos had jpil kuku wote kwenye fridge wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi,ni kwamba nmekuta kawasha gas ,inatoka tuu bila moto.af hata hajajuaa..naskia tuu xiiiii.na haruf nauliza hyo si gas inatoka et yuko heee,et alitaka hemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke mda huu...hata ham ya kugegeda imetoka
Uzi tayar
Mkuu sidhani kama ni uchoyo, kupangilia budget muhimu. Lakini alitakiwa pia amwambie mwenzie kwamba hao kuku tumia mmoja huwenda mwenzie huwa anafikiri wameandaliwa kwaajili yakeUnampiga chini. Unatafuta mwingine.
Hiyo ina apply kwa nyie ambao hamjaoa.
Nb hapo kwenye Kuku umetupatia taarifa kwamba wewe ni mchoyo.
Za siku,well.ishu ni hiv,..mdada ni extravagant
1.akioga bafuni nadhan ni tank nzima ya maj anamaliza.anaoga masaa 3(chumvi hii)..ila anaweza achia bomba inamwaga maj had unajiuliza,hiv haya maj si nalipia lakin
2.akinyoosha au akifua unaweza ona kawasha pasi inakaa hata nus saa ndo anakumbuka kua kumbe anapasi.hiv mi si nalipia luku.anaweza fua masaa mashne inazunguka tuu anarudiaa et anataka nguo ingae
3.dem anamaliza sabun huyu dah akiosha vyombo
4.akikaanga kuku sasa au samak,yan kama ni kuku wawil kwenye fridge atakaanga na kula wote,yaan akija jmos had jpil kuku wote kwenye fridge wameisha
Kilichopelekea kuandika uzi,ni kwamba nmekuta kawasha gas ,inatoka tuu bila moto.af hata hajajuaa..naskia tuu xiiiii.na haruf nauliza hyo si gas inatoka et yuko heee,et alitaka hemsha maji..
Kiukwel nmekereka kama nimwambie aondoke mda huu...hata ham ya kugegeda imetoka
Tutafute hela mzeebaba
Hapana,yaan kabsa nikae nimfundishe,kwakua nampenda sana au?huyu imekula kwakeHuyo ni mzembe wa kupindukia...inaonesha kwao yuko peke yake, miaka yote amekaa na hausigeli na ni type ya wale watoto ambao hata akifanya madudu mzazi hamfinyi wala kumfokea. Inabidi wewe ndio uchukue jukumu la kumfundisha na kumuelekeza yote aliyotakiwa kujua tangu akiwa na miaka 10. Kila la heri mkuu
Kabisa mkuu,hii changamoto imekua kubwaHyo anafaa kwa matumiz ya mda ila si ya kudumu ogopa mtu ambaye hajal na hilo pia huwa n factor mojawapo ya kumpata wife material,hlohlo suala niliwah kumwambia dada mmoja kwamba lingemkost ila hakulitilia maanan navoongea sasa mme amemchoka japo mwanzon ulikuwa humwambii chochote juu ya huyu dada,