EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,712 Aug 29, 2021 #1 Wakuu leo tena minyama kama yooote. Karibu Kibamba Chama mnada wa minyama ya mbuzi na Kondoo. Hata ukitaka [emoji200] unaagiza jirani tu Nipo na dogo nimalizane nae nirudi Hospital kwa mshua
Wakuu leo tena minyama kama yooote. Karibu Kibamba Chama mnada wa minyama ya mbuzi na Kondoo. Hata ukitaka [emoji200] unaagiza jirani tu Nipo na dogo nimalizane nae nirudi Hospital kwa mshua
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,064 Reaction score 7,551 Aug 29, 2021 #2 Kumbe Dar kuna minada ya nyama kama huku kwetu mikoani. Hahaaa, therefore......Dar ni mkoa uliochangamka.
Kumbe Dar kuna minada ya nyama kama huku kwetu mikoani. Hahaaa, therefore......Dar ni mkoa uliochangamka.
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 11,964 Reaction score 28,208 Aug 29, 2021 #3 Leo sipo ila mara nyingi huwa mitaa hiyo jion sana nakuka mbusi hadi nabeba USSR
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,712 Aug 29, 2021 Thread starter #4 kizaizai said: Kumbe Dar kuna minada ya nyama kama huku kwetu mikoani. Hahaaa, therefore......Dar ni mkoa uliochangamka. Click to expand... Ipo mkuu tena nyama kibao Family day ya kutoka na wife na watoto
kizaizai said: Kumbe Dar kuna minada ya nyama kama huku kwetu mikoani. Hahaaa, therefore......Dar ni mkoa uliochangamka. Click to expand... Ipo mkuu tena nyama kibao Family day ya kutoka na wife na watoto
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,712 Aug 29, 2021 Thread starter #5 USSR said: Leo sipo ila mara nyingi huwa mitaa hiyo jion sana nakuka mbusi hadi nabeba USSR Click to expand... Pamoja sana mkuu ila uache u.CCM wako[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
USSR said: Leo sipo ila mara nyingi huwa mitaa hiyo jion sana nakuka mbusi hadi nabeba USSR Click to expand... Pamoja sana mkuu ila uache u.CCM wako[emoji1756][emoji1756][emoji1756]