Mnadani KIBAMBA kama kawa

Wewe Ni mtu muhimu.
Tutafutane jumapili ijayo.
Ila uagizage kidali chote na mbavu upande mzima Kama mko wawili.
Nilitaka kusahau kashokolo mate utumbo wa kuchoma....
 
Mnada wa Magha Hydom hataree viburudisho vya KUTOSHA
 
Niko kwa Manka hapa, nimevaa T-shirt blue bahari na pensi ya kijivu, nimepaki kirukuuu pale juuu. Karibu mdau tusalimiane. Siasa tupa kule hapa ni mbuzi hadi kondoo wanune
 
Wewe Ni mtu muhimu.
Tutafutane jumapili ijayo.
Ila uagizage kidali chote na mbavu upande mzima Kama mko wawili.
Nilitaka kusahau kashokolo mate utumbo wa kuchoma....
Acha kabisa mkuu
 
ongeza sautiii....wimbo wa pombe ni tamu...pombe ni tamu
 
Hivi hizo nyama choma za mbuzi ni zile zile za KWA morombo au?

Maana tulozoea KWA morombo tusije tapika mkatucheka kumbe tumekua vitu vya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…