Mnadani Kibamba Chama leo

Jamaa umeyapatia maisha..asbh yote hii umemkia ulabu...anyway ni maisha yako tukuachie mwenyewe.

Shukrani kwa ukaribisho tupe location vzr.

#MaendeleoHayanaChama
 
Napaelewa Sana pale , hapo ni mahakama ndogo ya mbuzi .....!!!
 
Nipe location vizuri baada ya kufika Mbezi Mwisho hapo naelekea upande upi.
Kama unatumia daladala shuka Kibamba chama ila kama una gari, ukifika daraja la juu la kwenda Mloganzila, panda daraja njoo kulia
 
Mbezi mwisho sehemu gani Leo siendi church nataka kula nyama
 
Jamaa umeyapatia maisha..asbh yote hii umemkia ulabu...anyway ni maisha yako tukuachie mwenyewe.

Shukrani kwa ukaribisho tupe location vzr.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu chupa iliamka na chai
 
Mkuu nakuja hapo muda mfupi ujao.Nigonge Mbusi za kutosha na K_Vant hadi jioni halafu niende Lupaso kumcheki mnyama akimrarua mtu leo usiku.Kweli leo week end nitakuwa na furaha ndeeeeefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…