MNADA Saturday 29th August 2009 at UNICEF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MNADA Saturday 29th August 2009 at UNICEF

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Lucchese DeCavalcante, Aug 28, 2009.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2009
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kutakuwa na mnada pale UNICEF vitu mbalimbali kama magari,vifaa vya computers na vya maofisini.

  List of vitu imeambatanishwa.
   

  Attached Files:

 2. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  everything is broken,but hii minada bora wagawe kwa wanaohitaji wapeleke kwa watoto yatima,kwanini nasema hivi?Minada hii wanakuja matajiri wafanyabiashara wenye hela zao wanabuy at very high price kwa vitu used tena broken,yani mitanzania ni mipumbavu sana.huwa sihudhuriagi tena minada ya watu wa nje9balozini,UN's etc).watoe charity as they are not profit making organisations,full stop
   
 3. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisaa! Hii inatokana na serikali yetu kujaa mafisadi, hivi ni vitu ambavyo wanatakiwa ku-donate kwa serikali na kwenye idara zenye shughuli zinazoendana na Shirika lenyewe. Nchi nyingine huwa zinahakikisha wanafanya hivyo. Ila hapo kwetu ofisa wa seriakali atafanya mbinu ya kujinyakulia lake ampelekee mkewe, tena mara nyingi nyumba ndogo-kimada. Kwahiyo hawa jamaa wanajifanyia mambo wanavyotaka na wafanya biashara na mara nyingi huwa ni ponjoro wanavichukua jumla. Ukiona hivyo kuna kitu kimefunikwa hapo siyo hivi hivi. Huenda vipo ninavyoongezwa baada ya mnunuzi kulipia.
   
 4. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Enhee, sawa wanauza vitu vibovu, tuko pamoja!  Eh, ulianza vizuri kwamba hivyo vitu ni mizoga, kulikoni unataka huo mzigo wa vitu vibovu utwushwe kwa watu wasio na uwezo yaani yatima? au ndiyo kusema kila kilichochoka basi watupiwe yatima, yatima hawastahili vitu vizuri?  RealTz77


  Mh, isijekuwa ni sizitaki mbichi hizi?
  Sasa tunataka kuingilia kazi ambayo hatuiwezi kuifanya
   
 5. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Asante kwa taarifa! Je unafanyika wapi ?
  UNICEF Makao makuu au ofisi zao zipo sehemu gani?
   
Loading...