Lengo la TCRA (Mamlaka ya Mawasiliano) kusajili laini kwa alama za vidole kuwatambua wamiliki halali wa laini husika. Lakini wanachokifanya baadhi ya mawakala wa mitandao ya simu si halali
Wewe mwenye kitambulisho cha NIDA unapoenda kusajili laini ukiambiwa rudia imekataa au haijakamilika jua una sajili line nyingine.
Ambazo baadhi ya mawakala huziuza laini hizo kwa wengine wasio na vitambulisho vya NIDA. Kwa kutokuelewa sisi tunaoenda kusajili tukiambiwa tumekosea tuna rudia zaidi ya mara 3 jua hapo umesajili laini zaidi ya moja.
Ushauri:
TCRA wangeamua Kila kitambulisho kingesajili line moja tu kila mtandao
Lakini kwa kuamua kuruhusu line zaidi ya moja
Ni majanga yapo pale pale lain kibao zipo mtaani zinauzwa zilizosajiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app