Mnachoraga nini kifuani kwenu

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Hivi Wadada Mnachoraga Nini Kifuani Kwetu Tukisha Maliza kusex Wakati Mmelala Kifuani Hii Kitu Sielewagi Kabisa 😂🤣
 
Masharti ya mganga, ndio wafanyiwa dawa hivyo
 
Bila pics hii Mada haitaeleweka
Bila picha hii Mada itakuwa ya kinafki
 
Wanaume wa mikoani bwana

Sisi mbona tuna unafuu! Huwa hatuwakimbii tuwapo wote lodge kama hao wanaume wenu wa Dar. Goli moja tu yupo hoi, kaweka na alarm kabisa kwenye simu ili ifikapo alfajiri amkimbie mwanamke wa mkoani!
 
Sisi mbona tuna unafuu! Huwa hatuwakimbii tuwapo wote lodge kama hao wanaume wenu wa Dar. Goli moja tu yupo hoi, kaweka na alarm kabisa kwenye simu ili ifikapo alfajiri amkimbie mwanamke wa mkoani!
😛
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…