Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
Kipindi cha maswali ya papo kwa hapo siku ya alhamisi huko bungeni:
Wabunge wote:Hapana,hatuna maswali mheshimiwa kwa sababu ninyi serikali ndiyo mlitupatia ubunge bure.
Gwaji boy:Mheshimiwa unaanzaje na unaanzia wapi kumuuliza swali mtu ambae ndiye kakupa ubunge?!Ndiyo,maana hatuna swali hata moja.
Mheshimiwa:Utii ni muhimu sana na nimekubali kuwa ninyi ni wabunge wazuri sana.Sisi kama serikali tutaendelea kuwapatia ubunge wa bure.
Wabunge wote:Pa paa paaaa paaaaa!(Makofi)