mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nachukua nafasi hii kwa huzuni na masikitiko makubwa kwa wananchi wa Jimbo la Mtera kwa kupoteza muda fedha na kura zenu kumchagua mbunge Mh.sana Bw.Livingstone Lusinde.
Mbunge huyu amekuwa na kauli zisizo za kistaraabu nakumbuka aliwahi kumdhihaki Mh.Zitto Kabwe wakati amefiwa na mzazi wake.
Jana wakati bunge linajadili bajeti nilitegemea mbunge wenu angefikisha shida na matatizo ya Mtera badala yake anatumia muda aliopewa kuzungumza mambo mengine eti ametumwa na wabunge wa CHADEMA awasemee kuwa Mbowe in dikteta.
Je wananchi wa Mtera ndio mlichomtuma? Je ndio shida za jimbo lenu?Jamani kuwa na wabunge aina ya Lusinde ni janga la Tanzania.