Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Sasa mbona na wewe umewaza kingono ngono badala ya kuja na topic mbadala? mawazo yako yana makengeza!!
Ngono ni sehemu ya maisha na viumbe wote watembeao, watambaao na warukao wametokana na ngono~~~~~~~~~~!
Mie sijaelewa kabisa nisaidieni kunielewesha
Habari yako binafsi mamito,Ngono ni sehemu ya maisha na viumbe wote watembeao, watambaao na warukao wametokana na ngono~~~~~~~~~~!
Ruta sio kuabudu ngono,Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo ndani ya MMU sana sana yanathibitisha ya kuwa hiki ni kizazi kinachoabudu ngono bila ya kujijua?
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo ndani ya MMU sana sana yanathibitisha ya kuwa hiki ni kizazi kinachoabudu ngono bila ya kujijua?
Ngono ni sehemu ya maisha na viumbe wote watembeao, watambaao na warukao wametokana na ngono~~~~~~~~~~!
Mie sijaelewa kabisa nisaidieni kunielewesha