MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Jamen dada yangu amu!
Nimesema mimi ni mtukutu! Then napenda ku-challenge! Hapo nimejipenda kweli?
Nionee huruma mwenzio mwee!

labda utukutu ila sijawahi kukutana nawewe ukachallenge nikakupa respect kama una ushahidi weka hapa.
Tuanzie hapo kwanza
 
mi niko wapi aiseee... damn it..
 
^^
Nilishatenda... Niliwatunza.. Nikawapaka wanja Wakanipaka pilipili.
Usihadaike na mapenzi ya mitandaoni..we are here to make days meaningful
Ndoa ni wito kama hukuitwa usiende lakinikutoenda kusiwanyime mema yaliyo haki yao ikiwa umepewa na Maisha

cc Mashaxizo na mwekundu
^^
 
Last edited by a moderator:
labda utukutu ila sijawahi kukutana nawewe ukachallenge nikakupa respect kama una ushahidi weka hapa.
Tuanzie hapo kwanza

Hahahahahaaaa!
amu hao niliosema hawapendi kuchallengiwa ni mfano wa kwanza!
Hata ukimuuliza Himidini anaweza kukuhakikishia!
Also mtambuzi or Charming lady kama wanakumbukumbu mzuri! Na wengineo!
...
Afu umeona kama unamwaga makavu laivu eee?
 
Amu Mimi Avatar lake tu!!
 
Hahahahahaaaa!
Kama ndoa ni wito si tayari umeshaitwa na M...b! Hihihihihii...!
Mkuu wewe ndio wa kutupa mfano kutokana na knowledge yako kuhusu mahusiano!!!
Au ndio mganga hajigangi?
 
Last edited by a moderator:

Dah mkuu nilikua sijui kama na mie ni mtu wa viroja, ila ni nature yangu mkuu teh teh umepatia kabisa aiseee
 
Loooh eti vigwasa.....teh!!!!!

Eee! Spati picha kama huo ukigwasa ni kwenye likes tu au na mambo mengine! Hihihihihiii!
Embu angalia idadi ya post zako, likes received kisha linganisha na likes ulizotoa!
Mwee! Utadhani ukigonga like utafilisika lol!
 
Hahahahahaaaa!
Kama ndoa ni wito si tayari umeshaitwa na M...b! Hihihihihii...!
Mkuu wewe ndio wa kutupa mfano kutokana na knowledge yako kuhusu mahusiano!!!
Au ndio mganga hajigangi?

^^
Ha ha ha ukiitwa pima sauti,,
Najua una hamu sana ya kujua u-ndani wangu bt sio wakati sahihi...punguza utundu
Soma signature yangu hafu uniambie umeelewa nini?
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…