MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

MMU Top 3 member in 12 angles!!! Is it fair?

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,355
Hahahahahahahaaaa!
(Hiyo ndio salamu)
...
Jamen hamna kupoteza muda, wacha tujikite ktk Top 3 wetu!
...
...
1) MAHUDHURIO:
Heaven on Earth!
Daud omar!
Luck Star!
Hahahahahaaa wanajitahidi sana!
...
2) LIKE: hapa kuna makundi mawili wanaozigonga sana na wale vigwasa/mabahili!
..
Wanaogonga sana:
figganigga Mia!
farkhina!
life is Short!
..
Vigwasa:
Ngalikihinja!
miss strong!
...............!!!!
...
3) MAKAVU BILA CHENGA:
amu!
Babu Asprin!
...............!!!!
...
4) AGAINST FEMINIST:
majaribu 2013!
the choosen!
...............!!!!
...
5) SIJUI NIWAITEJE!:
Simplicity!
heaven on desert!
...............!!!!
...
6) UNPRADICTABLE!:
Watu 8!
kingkong 3!
...............!!!!
Hahahahahaaaa! Huu uchokodhi!
...
7) WATUKUTU!:
Mashaxizo!
mwekundu!
...............!!!!
Ooh! Wewe hukujitaja!
Sjui unajifagilia!
Haya bhana!
...
8) CHALLENGE:
Hapa kuna makundi mawili, wanaopenda ku-challange na wasiopenda kuchalenjiwa!
..
Waku-challange:
Eiyer!
Mashaxizo!
...............!!!!
..
Wasiopenda kuchalenjiwa:
lara 1!
mimi 49!
...............!!!!
Eee hao ukubaliane nao tu! Ukipingana nao na kuwachallange kidogo tu .....!
...
9) WANAOSIMAMIA VIZURI THIRED ZAO:
Eiyer!
gfsonwin!
Fixed Point!
Yaani wanavyosimamia thread zao hadi raha!
...
10) WAWEKAJI MADA MZURI, ZINAZOENDANA NA MMU!:
Himidini!
Mtambuzi!
................!!!!
...
11) HAWA WATU WAKO FAIR SANAAA!:
Hapa kuna makundi mawili W/me na W/ke:
..
W/me ni:
Mentor Ma ticha!
Mapi!
BAK!
..
W/ke ni:
sister!
christine ibrahim!
Mamdenyi!
...
NB: Yoyote anaweza kujalizia mapengo hayo na ujumbe utafika!
Hii sio kwa kuwekeana chuki! Ndio kawaida ya matokeo!
Ukinuna sana vunja keybord!
...
12) WANAJOKES!
Yani hao nacheka sana nikisoma post zao! Na wenyewe ni:
asigwa!
Kongosho!
Washawasha Nalog off!
 
Last edited by a moderator:
Heheh sasa huoni kama unampendelea...yaani juzi tu hapo.
Kuna raia wapo hapa full time yaani wanaweza wasitoe comments ila wao ni likes tu mfano Mamndenyi, Mr Rocky, Kaizer etc na wapo kitambo

Watu 8 ulichosema kinawezekana sana!
Ni wengi mahudhurio yao mazuri! Ila siunamuona jamaa hapo juu! Tarehe aliyojiunga tena na wingi wa post zake!
Huyu jamaa halali!
 
Watu 8 ulichosema kinawezekana sana!
Ni wengi mahudhurio yao mazuri! Ila siunamuona jamaa hapo juu! Tarehe aliyojiunga tena na wingi wa post zake!
Huyu jamaa halali!

Miye sioni chochote hapa zaidi ya majina na posts tu...natumia simu katika version ya JF Mobile
 
Vipi bado inaikumbuka username/ID yako ya mwanzo?
kwa kweli nimeisahau totally, nimejaribu ku guess lakini hamna! unajua, kaka yangu ndio alinifanya nikajiunga jf, kipindi yuko form six wakati mi niko form two! nilihisi kuna vitu anavipata humu!! inaniuma sana aisee!
 
Hamidini ni husband material hujakosea

Hahahaaaa!
Kweli kabisa jamaa anajua theory nyingi kuhusiana mapenzi! Kiasi kwamba ke wengi wanavutiwa naye! But the issue is that, whether anaweza kutenda yale anayoyaongea? Alafu huyo mwenzie ni vipi ataweza kumcotrol?
Mwenyewe si unaona jamaa hajaoa na bado anawachukia ke! Ngoja akuje! Huenda atafunguka!
 
Back
Top Bottom