Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu wakitoka kumsaidia ana waambia aaah, nilitaka mje mnisindikize nyumbani . Walevi wenye tabia hii wakaongezeka ikawa kero kubwa sana hata ilifika mahali wanakijiji wakawa wanapuuza mayowe na kuto jali kelele, siku alipo hitaji msaada hakuna aliye msaidia wakijua ni kawaida yake kupiga kelele. Najua sio Hadithi ngeni kwa wengi wetu, na sio lengo langu kusimulia hii hadithi ila tukumbushane tusijisahau
Tunapoomba ushauri MMU tuwe wawazi tuwekane sawa kama ni wewe, rafiki, jirani ndugu au ni story ya mtaani iweke wazi wataalam wetu hapa MMU wajue jinsi ya kuchangia. Inachekesha/inabore leo umeandika mkewangu kesho mumewangu Watu wanakuwa touched na story wanachangia kutoka moyoni Siku yakikukuta ukatoa ishu ya ukweli member wataichinjia thread yako baharini when you need them the most . Na wale wenye ID zaidi ya moja try to be smart.