MMU na Lugha gongana!

MMU na Lugha gongana!

Ahsante Mungu kwa kunionyesha kiumbe hiki.
Hii ndio tabia ambayo ni sugu kwa members wengi humu ndani.
Mtu kama Nosing foo gudi alitoa posti hapa akadai kafanikiwa kulala na mume wa jirani yake, akajipongeza and then akataka apongezwe humu ndani. Ni wazi ana akili timamu sana ila kazisoma akili za members wengi JF akaona kwamba ili post lake libaki kileleni ngoja apost maujinga ili kadri watu wanavyosiliba post lake ndio wanavyozidi kuliweka hewani mada la ujinga, na mwishowe inafanya tuonekane wote wajinga.
Mi nadhani kusiliba kwa kumwambia mtu LIVE ana kwa ana ni tofauti kidogo na hapa.
Hapa njia muafaka ya kusiliba ni kuangalia post, na ukichangia sana piga
Itakuwa ni adhabu tosha akiziona hizo nyingi au akiona watu walio View ni 700 Replies 0
Vinginevyo atajiona mshindi

Me looveeeee
ur idea so much
chenki youuuuuuuu ..lol

For realy
I think is brilliant
what u just say
thumbs down mmhh
That's way to go...

The question is
do you qulify to be
NEXT TOP GREAT THINKER?
Mmmhh PM me if u want to know the answer
..30sec left..lol
 
Waripoti kwa Invisible au xyln JF moderator,wao wanaamini kwa kuwa ni PM basi huwezi kuwashtaki wakapewa ban but you can do it kama umechoka lakini na matusi yao ila kama unafurahia.............

Nimeripoti na Invisible katenda haki
 
nikiwa sina ishu hata MMU siyo sana kuitembelea, namalizia ktk udakuuu....
 
:tape:

alafu hivi vijinga ndo ukija na issue ya msingi ndo vya kwanza kuchafua kwa kutoa majibu ya kijinga...ooh! hujabalehe, mara sijui nini wakati vyenyewe hata kutawadha wakishajisaidia nadhani hawawezi

Labda wasaidiwe kujua njia ya mwongo ni fupi na ukiwa mwongo basi juitahidi uwe na Memory ya hali ya juu kuliko nhata supercomputer

Jukwaa hili lilinisaidia ku-solve issue ya mdogo wangu alietibua mbaya ila baadae hamu ikakatika baada ya kuona utitiri wa vi-post vya ajabu... hongera Elia kuli-note na wadau kuliweka sawa zaidi..
 
Umenena elia. Yan mimi mpaka nimeacha hata kuingia hili jukwaa siku hizi, huwa naona bora nkachekeza zangu tu kwenye jokes
 
Ahsante Mungu kwa kunionyesha kiumbe hiki.
Hii ndio tabia ambayo ni sugu kwa members wengi humu ndani.
Mtu kama Nosing foo gudi alitoa posti hapa akadai kafanikiwa kulala na mume wa jirani yake, akajipongeza and then akataka apongezwe humu ndani. Ni wazi ana akili timamu sana ila kazisoma akili za members wengi JF akaona kwamba ili post lake libaki kileleni ngoja apost maujinga ili kadri watu wanavyosiliba post lake ndio wanavyozidi kuliweka hewani mada la ujinga, na mwishowe inafanya tuonekane wote wajinga.
Mi nadhani kusiliba kwa kumwambia mtu LIVE ana kwa ana ni tofauti kidogo na hapa.
Hapa njia muafaka ya kusiliba ni kuangalia post, na ukichangia sana piga
Itakuwa ni adhabu tosha akiziona hizo nyingi au akiona watu walio View ni 700 Replies 0
Vinginevyo atajiona mshindi

Well said CPU me love this
 
mie nishachoka hata kuchangia nimeanzisha bustani ya mboga mboga napotezea muda huko,lakini hii msg sent kiukweli,wenye hekima zao na busara wataacha kuchezea akili za watu
 
afadhali umemvika paka kengele ELIA, kumbe tulikuwa tunakereka wengie ehh!
yaani jukwaa lilikuwa linaelekea kufanana na jukwaa la jokes!!!
 
Pole DA..kama imefikia huko basi ukiwaripoti abuse kwa kiranja utakuwa umewatendea haki....matusi ya nin penye ukweli?? lakin kumbuka usemi...ukweli unaumaaaaaa...au uweke hizo ID hadharani waone hayaaaaa

Jana siku yangu imeharibisa sana baada ya kusema ukweli kuwa watu wanatuchezea akili maana nilipata PM za matusi mpaka nikashiba mwenyewe lakini sitaacha kusema kweli hapa tusichezeane akili kabisa kwanini watu tupoteze muda, akili zetu kushauri ujinga???? na Uongo uliotungwa???
 
Tusiharibu MMU, Nikiwa mdogo nilisimuliwa story ya mlevi aliyekuwa anapiga kelele kijijini kila siku akitoka kulewa, Nakufaaaa, Nisaidieniiii, fisiiiiii, simbaaa,weziiii, nabakwaaaa, nk nk. Watu wakitoka kumsaidia ana waambia aaah, nilitaka mje mnisindikize nyumbani . Walevi wenye tabia hii wakaongezeka ikawa kero kubwa sana hata ilifika mahali wanakijiji wakawa wanapuuza mayowe na kuto jali kelele, siku alipo hitaji msaada hakuna aliye msaidia wakijua ni kawaida yake kupiga kelele. Najua sio Hadithi ngeni kwa wengi wetu, na sio lengo langu kusimulia hii hadithi ila tukumbushane tusijisahau
Tunapoomba ushauri MMU tuwe wawazi tuwekane sawa kama ni wewe, rafiki, jirani ndugu au ni story ya mtaani iweke wazi wataalam wetu hapa MMU wajue jinsi ya kuchangia. Inachekesha/inabore leo umeandika mkewangu… kesho mumewangu… Watu wanakuwa touched na story wanachangia kutoka moyoni Siku yakikukuta ukatoa ishu ya ukweli member wataichinjia thread yako baharini when you need them the most…. Na wale wenye ID zaidi ya moja try to be smart.

Perfected! Na wale wanaotafuta wachumba kwa dhihaka nao wajiangalie.
 
Kwa kweli hii thread nimeipenda sana. ahsante Elia kwa kutukumbushia
 
Nadhani kuishia kati ni over use ya enter key pasi lazima, any haina ubaya
 
Mleta uzi hongera maana tunakoelekea ni kubaya jitu bila haya leo linasema hivi kesho limejisahau linasema vingine na kuna wawakilishi humu jambo limemkuta yeye anazuga sijui kuna jamaa yangu mara shosti wangu kafanyiwa hivi.Wabunge na wawakilishi wapo mjengoni.
 
Back
Top Bottom