"MMU Misses you Sooo Much"

nini supu ya ngumi... kuna makange ya mkia pale kwa mbaga (mbezi/kawe) na 8 packs za fire extinguisher

BTW.... andaa caravan kuanzia dec 20 ya nothern zone adventure... kuna haja ya kuanzia tanga, na kumalizia karatu.... SERIOUSLY
Asee....hapo umesema mkuu!!
Wapi tanga.......koogwe halafu haoooo!!
Blaki Wumani atakuwa amemalizia ile guest house yake pale Ngaramtoni walahi!!
 
first lady hayupo fresh kiafya ila nitamfikishia salamu zenu. hao watu kweli wameadimika.
 
Asee....hapo umesema mkuu!!
Wapi tanga.......koogwe halafu haoooo!!
Blaki Wumani atakuwa amemalizia ile guest house yake pale Ngaramtoni walahi!!
Mkuu naona mwaka huu mambo kama vile yatajirudia kama December mwaka jana
 
Biggy kwahiyo kule Ngaramtoni tutaenda kufunga another branch baada ya mwaka jana kufunga moja pale Arusha mjini
 
yeah cousin, thats for men, men and only men!!! Biggy na GY wanajua mziki wake... hiyo huwa inaanzia saa mbili asubuhi..........and it kills the whole day!!! Babu ana inni kama la sungura, extinguishe tatu tu kwisha kazi
Fire extinguisher ni kwa ajili ya wazee..........yule sio mzee, ni babu.......
mkuu, fire extinguisher zinaanza za bardiii halafu baadae unasahau kama kama ulikuwa unakunywa za baridi, unasema fungua tu!!!

Asee, GY anawaka....kiu yake inahitaji kumkatia insurance kabisa............''Thirst insurance''
 
Lol!! Insurance ya Kiu
 
Dah wamepotea kweli ila kama wanasikia warudi tu.......ila mi nimemiss Husninyo tu ingawa namwona kila siku....teh teh


Excellent taratibu mlezi wake nipo hapa... Kwanza leo siku yake ya kuzaliwa... Mimi na Sweetie Kaizer tumemuandalia sherehe pale Ukumbi maarufu wa Chit Chat... karibu saana...
 
Aisha Adam...........mh! nimemmiss sana.
 
Excellent taratibu mlezi wake nipo hapa... Kwanza leo siku yake ya kuzaliwa... Mimi na Sweetie Kaizer tumemuandalia sherehe pale Ukumbi maarufu wa Chit Chat... karibu saana...
Nimeshafika huko ingawa mtoto mchanga nasikia mkorofi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…