Shem umeanza lini kuwasikiliza wagonjwa wa Mirembe walioko likizoni?............ Of ooooool ze pipo, mie na mai homii twaweza toroka na vikreti kazaa vya bia wakati tuna komplimentare ya kujisevia Biya idadi tunayotaka pale TBL............. Isitoshe haya mahela yaliyojaa mifukoni ambayo hayana kazi tungeshindwa kujinunulia mabia ya kutosha mpaka tukasarandie kwenye kasherehe ka Maskini kalikokuwa na vikreti 30 tu za bia?Shem ulikua na hali mbaya saana... Niliwasiliana na mama Matesha akaniambia na kwa hisani ya Matesha sitasema ni hali gani... Hii useful thread ilikua ni kama attack weapon ili tu-diverge attention... kuna scandal kubwa saana ambayo imetolewa na Finest... Kua ODM, Biggie, RR, King'asti, Darling Kaizer, Boss, Uporoto & Co.... mmeondoka na kujibinafsishia Crate zoote za vilevi... Mbaya zaidi mmeiba na after shave ya Lawyer Klorokwini... Sweetie kaamuka toka jana...lol.. Mie naona kuamka zako sa hizi unafikiri leo ni Sunday....lol
Shem hebu do the needful "copy na kupaste hii kitu" for she deserves it... itakua a birthday na a "Welcom back thread"
Darling shem I am impressed na huo ufundi wako... dakika ngapi umetomia ku compose?? Khaaa!! Hii HATARI sasa...
Shem umeanza lini kuwasikiliza wagonjwa wa Mirembe walioko likizoni?............ Of ooooool ze pipo, mie na mai homii twaweza toroka na vikreti kazaa vya bia wakati tuna komplimentare ya kujisevia Biya idadi tunayotaka pale TBL............. Isitoshe haya mahela yaliyojaa mifukoni ambayo hayana kazi tungeshindwa kujinunulia mabia ya kutosha mpaka tukasarandie kwenye kasherehe ka Maskini kalikokuwa na vikreti 30 tu za bia?
Mwambie atutake razi!
Napenda kuwafahamisha hommies wangu na shem langu la ukweli, wapiga chabo na masharobaro wa JF MMU, wajukuu wakorofi na watukutu kuwa nimebadili wazo langu la kunywa sumu............Hii ni baada ya kuukubali wito wa rafiki yangu mpendwa Fixed Point.
Haya rafiki hebu niambie ulikuwa wapi siku zote?
Shem wangu Ashadii,
Acha wako usanii,
Wajua zangu bidii,
Kwenye yetu hii fani?
Nawe nitakuimbia,
tena kukushangilia,
Nyimbo nitakutungia,
Siku yako ikifika.
Najiweka ahadini,
Kumbuka ahadi deni,
Na tujiweke duani,
Mola na atuwezeshe.
Hakika Blaki womani,Afadhali daaaah nimeogopa huu mwaka unakwishaje tena........BTW miss u ODM
Hahahaha.......shem bana! hiyo blue isikutishe ni mambo ya vina tu bana!Pamoja na kusema kua blue imenitia wasi wasi...lol.. Mimi nafaili hii post for future reference.... Mpaka i wish nitunge uongo kua birthday yangu kesho hali ilipita siku nyingi... BUT najua Mvumilivu hula mbivu... Asante Shem wangu wa ukweli....
Rafiki asante sana, ninafuraha kuwa na rafiki kama wewe. Mungu akubariki pia.Hii naona inahitaji sredi ya kujitegemea, hata hivyo ngoja nikupe haki yako:
Hodi kwako maulana,
Mlango usijebana,
Kwa marefu na mapana,
Kumuombea rafiki
Heri yake mefikia,
Duniani kufikia,
Mema ninamtakia
Maisha yawe matamu
Namtakia fanaka,
Maisha pasi mashaka
Afya ya uhakika
Mabaya yamwepuka
Muongezee miaka,
Isokuwa na viraka
Apate nyingi baraka
Na aishi kwa mani
Amina tena amina
Nasema tena Amina
Wote twitike Amina
Amina Amina Tena
Hepi besdei dia Friend!
Na ODM a.k.a Bigi Braza babu Asprin
Kaunta Ya Juu
King Star!
Shem hebu do the needful "copy na kupaste hii kitu" for she deserves it... itakua a birthday na a "Welcom back thread"
Darling shem I am impressed na huo ufundi wako... dakika ngapi umetomia ku compose?? Khaaa!! Hii HATARI sasa...
Hahahaha.......shem bana! hiyo blue isikutishe ni mambo ya vina tu bana!
Yaani huyu shemu wako ni kiboko. Thank you too AshaDii
Na kama kawaida ODM wa misifa mbichwa huooooo!hahahaha.... mimi nimerest in peace sasa...:canada:
Umeona eeeh?? Yaani me love my shem saana tu hio ikiwa moja ya sababu....lol
😛oa:lol:.......... (Smile) 😛hoto:
na bawaba zinajiwakilisha zenyewe!!haya wajameni...!
huyo carmel anawakilishwa na mamndenyi hapa jamvini.....!
Acha masihara bana!haya wajameni...!
huyo carmel anawakilishwa na mamndenyi hapa jamvini.....!
na bawaba zinajiwakilisha zenyewe!!
TI.
Hutaki?Acha masihara bana!