Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
😁✋.. Give me five.. Chukua uji wa pilipili manga hapo hakuja kulipia!Ni kosa kubwa kuwalalamikia wanawake wote kama vile Baba yao ni mmoja na mama yao ni mmoja. Najua kuna tofauti kubwa kati ya KE A na KE B kutokana na malezi, elimu, marafiki na mazingira mbali mbali aliyopitia huyo A ukilinganisha na B. Kwa hiyo kuwaweka kwenye kapu moja si sawa hata kidogo. Kuna warembo wanajitambua sana na hawana mambo ya kipuuzi puuzi kwenye relationship ambayo hayana kichwa wala miguu na yanaweza kabisa kuwa sababu ya kuvuruga penzi.