MMU kijiwe cha Wanaume kulalamika..

MMU kijiwe cha Wanaume kulalamika..

FirstClass

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
1,149
Reaction score
1,470
Hujambo na Karibu kwenye Dira ya Mapenzi asubuhi hii. Ninayekukaribisha ni wako mtangazaji Firsclass (In Kikeke Voice)

Twende Moja Kwa Moja kwenye Mada. Wanaume/Wavulana tunakwama wapi Aisee.. Tunalalamika sanaa Jukwaani. Tunatia ' Huruma ' Sana Aisee..

Mara Huyu sijui kaombwa Ela, Mara Huyu anateswa na Mke wake. Mara Huyu ananyanyaswa.. Aisee

Hivi kweli tushida km ' Hutu ' nato ni twa kuombea ushauri kweli..

Tulizoea zamani kuona wanawake wakilalamika. Siku hz mambo yame-change..

Wanangu tunayumba..
 
Nadhani yajakukuta usimtukane mamba kabla..maadili yamebadilika sana siku hizi
 
Mwingine anafikia hatua ya kushaur wenzie wasioe, stupid
 
Wanawake sasa hv wamekuwa wanajiachia sana na hawajali, imagine kaolewa au anampenzi asiyemfikisha akutakako hapa lazma achepuke tu! Fikiria ulimwengu huu wa kila mdada anataka kuwa mrembo zaidi kitaa, hv unafikiri akipata mtu akamshikisha 50k hapanui paja? Acha walalamike tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna namna, ku-prove hili kuwa na uhusiano na wanawake zaidi ya 3, halafu waangalie nyendo zao.
 
Rekebisha kidogo Mkuu ni baadhi ya Wanaume.

Hujambo na Karibu kwenye Dira ya Mapenzi asubuhi hii. Ninayekukaribisha ni wako mtangazaji Firsclass (In Kikeke Voice)

Twende Moja Kwa Moja kwenye Mada. Wanaume/Wavulana tunakwama wapi Aisee.. Tunalalamika sanaa Jukwaani. Tunatia ' Huruma ' Sana Aisee..

Mara Huyu sijui kaombwa Ela, Mara Huyu anateswa na Mke wake. Mara Huyu ananyanyaswa.. Aisee

Hivi kweli tushida km ' Hutu ' nato ni twa kuombea ushauri kweli..

Tulizoea zamani kuona wanawake wakilalamika. Siku hz mambo yame-change..

Wanangu tunayumba..
 
Wanaolalamika ni wavulana, wanaume huwa hatulalamiki.....
 
Ni kosa kubwa kuwalalamikia wanawake wote kama vile Baba yao ni mmoja na mama yao ni mmoja. Najua kuna tofauti kubwa kati ya KE A na KE B kutokana na malezi, elimu, marafiki na mazingira mbali mbali aliyopitia huyo A ukilinganisha na B. Kwa hiyo kuwaweka kwenye kapu moja si sawa hata kidogo. Kuna warembo wanajitambua sana na hawana mambo ya kipuuzi puuzi kwenye relationship ambayo hayana kichwa wala miguu na yanaweza kabisa kuwa sababu ya kuvuruga penzi.

😀Wewe sijakuona ukilalamika Mkuu!
 
Back
Top Bottom