MMU jf group la kusaidiana

MMU jf group la kusaidiana

Jamani vyuma vimekaza kiaina mambo ni Mengi.
Kuna wakati unaitaji kitu flani cha muhimu nyumbani unashindwa kukifix kwa wakati.
Kutokana Na urafiki wetu hebu kila mtu aseme amekwama kitu gani.Na kama unampenda mtu unaweza kumsaidia kiroho safi.
Mimi mwenzenu lotion yangu pendwa imeisha mwezi sasa najipaka tu parachute.nimeitafuta mtaani nimekosa muda wa kwenda mjini sina.
Naitamani kweli yani.
Nyie wenzangu mna shida gani hapo?
Niagize na unielekeze unapokaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom