BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Huwa sion usiku niazime mawani yako hayo
Mbona hujafika. Unafanya utani na ODM kumchomesha mahindi PM?
ODM nimesikitika sana
Yaah mtoa mada uko right. Mmu inaweza kukufanya ukawa na negative atitude on relationships which is not good.
nisamehe mkuu!nimepisha njia sasa!Mkuu unaniharibia move ujue.
Na wewe badala umsifie uliye naye unasifia maiti. Ukishaachana na mtu msahau kama maiti. Kama huna cha kumsifia uliye nae, mpige chini nae awe maiti wa kimapenzi.
Inshort kama ex wako alikuwa hana makuu na still mmeachana, basi wewe ndo una matatizo jirekebishe.
Naitwa babu ODM