MMU Imesababisha niibiwe

MMU Imesababisha niibiwe

hahahhaha miminjishanusurikaga kwenye UDA aisee duuh siku hiyo jion niko busy mmu kaja kibaka dirishani sasa kama mnavyojua uda ni mpya kwa hiyo hata vilock vya madirisha ni vipya

so kwa ubusy niliokua nao na simu nilivyoingia hata kukumbuka kufungua kioo sikufungua so kibaka anangangana kuvuta kiiooo nakuja kumuona kashangangana sana
nikamzomea oooooh dirisha lina kitasa

Wewe je hakua muarabu na mpemba
 
Angalia siku wakikata umeme kwenu uwe makini wakati unaenda kuchaji laptop yako wasijekukupokonya tena.
 
dah pole sana mi walitokea hapa mo town nilifanikiwa kuwakwepa wakanitukana
 
mkuu hiyo heading imenitoa mbio kuja huku kumbe simu mmmh haya pole mkulu
 
Kamsomee albadilii hehehee..poule

Hahaaaa...
Umenikumbusha mama wa miss tanganyika ambae ni dem wa huyu msanii (almasi.
Hivi walisha timiza azma yao ya albadiil?
 
Eti waarabu na wapemba hahahaha
Mbona uko zanzibar hatusikii kukwapua watu, mpaka wizi pia mnatusingizia? Salaaaaale

Aliyekwapua ni mwarabu hana maana mbaya na nitaarifa kapokea kutoka kwa wenyeji mkuu tatizo unataka kuchanganya uhalisia na udini udini ivi mawazo yako siyo sahihi..... kila jamii inamakundi mabaya na mazuri ...
 
Hahaaaa...
Umenikumbusha mama wa miss tanganyika ambae ni dem wa huyu msanii (almasi.
Hivi walisha timiza azma yao ya albadiil?

Hawajielew wale wanambwela mbwela...chezeiya watu ww si ajabi huyo miss misifa ndo alimtengeneza mama ake ili apate umaarufu
 
Aliyekwapua ni mwarabu hana maana mbaya na nitaarifa kapokea kutoka kwa wenyeji mkuu tatizo unataka kuchanganya uhalisia na udini udini ivi mawazo yako siyo sahihi..... kila jamii inamakundi mabaya na mazuri ...

Na amejuaje kama ni mpemba
 
Hiyo inaitwa karibu daslamu ............
 
Okay, kumbe una laptop..!!??
Nikose Laptop nichekweee baba Pengo, ukiwa na Laptop/Computer ni Raha zaidi hadi picha za vichekesho za IDs unaziona, lakini simu haoini kitu, hata like haionyeshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom