MMU Fursa BET

kuanzia sasa nimeamua kumpokea bwana awe mwokozi wa maisha yangu maparoko niongozeni sala ya toba
 
baba paroko Kaizer nimeteseka na maisha ya dhambi kwa muda mrefu niko tayari kwa toba(kwa sauti ya vilio vya kwikwi)

hahaa wewe kwa hali yako hii utahitaji kwanza deliverance ndo tuendelee na toba ya kawaida J.lee sawa?
 
Last edited by a moderator:
hahaa wewe kwa hali yako hii utahitaji kwanza deliverance ndo tuendelee na toba ya kawaida J.lee sawa?
ha!ha!haa paroko hapana nimesamehewa na nnajiondoa kwa amani ya bwana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…