MMU Fursa BET

haa!! kwani mi kumkaribisha neggirl kwa mioyo miwili kuna ubaya?

jamani watu weshaanza kuhisi kwamba ni mpenzi wangu! dah.. ila inaweza ikawezekana!

neggirl njoo huku kuna mtu kajimilikisha wewe.
 
Last edited by a moderator:
Asante best ila nisije pigwa tu na wahusika

aaah! ukiwa na mimi jihisi kama uko zaidi ya nyumbani! more than eden garden, usalama upo always!

we ruka tu kwa bedi ule kichuri kwa raha zako!
 
aaah! ukiwa na mimi jihisi kama uko zaidi ya nyumbani! more than eden garden, usalama upo always!

we ruka tu kwa bedi ule kichuri kwa raha zako!

Basi sauwa nisubiri naja, nije without au?
 
bado sita... uwe jf senior expert member!

ntakuwa wa kwanza kukushika mikono na kukuvuta kwangu!

Ahaaa!!! Hata sijui zikifika ngapi ndo nakuwa JF senior expert member me huwa nareply tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…