mmu exclusive na @lara i

Sijauliza umegegedwa mara ngapi,ungejibu so far wawili simple like that, haya kwanini walikutema?
sasa kama sijagegedwa sana nisemeje.mimi sijawai kuwa na wapenzi wengi.mimi nimeanza mapenzi nikiwa chuo mwaka wa tatu.nikatemwa mwaka juzi.nikapata huyo wa pili basi sasa nisemeje.siku hizi sitaki tena.
 
ulizeni fasta kabla huyu Kiranga hajaja hapa nitakimbia,naona anachungulia
 
Last edited by a moderator:
Vipi umewahi kulia sababu ya mapenzi?nini kilikuliza?
huyu wa kwanza si unajua mapenzi ya chuo? alisepa na rafili yangu.huyu wa pili nilimwaga alikuwa hana adabu
 
Atabaki mtazamaji mi ndo host wa leo ukizingatia na wikiend nimeianza leo full burudani
ulizeni fasta kabla huyu Kiranga hajaja hapa nitakimbia,naona anachungulia
 
Last edited by a moderator:
Vipi umewahi kulia sababu ya mapenzi?nini kilikuliza?
hapana aisee ,huwa nina machozi sana ila sijawai kutoa chozi kwa ajili ya mwanaume.ila moyo huwa unauma kindani ndani yaani uchungu ule wa kufa .ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…