kuna watu wanataka kutuharibia jf yetu hapa. ooh wadada wa huku wapo hivi mara vile.love connect itakuwepo sanaa na ndoa zitaendelea kufungwa kama kawa.
tuyaache hayo sijui @Lara kipindi kilikosa udhamini.sasa leo naomba turudishe mshow wetu hewani leo najivolunteer niulizeni chochote nitawajibu kiroho swaaafi.ila sitaki pm live live hapa.
no gani ? age? mobile? ya kiatu? be specific pls
What is your idea of nirvana and what is your form of escapism, if you have any?
What are your likes and dislikes? These could be in anything...
What are your must haves and can't stands? Also could be in anything...
Are you 4-20 friendly?
What are you attracted to in a man?
jiheshimu bro
Promo ama?
matunda ..apple 2 karoti 2 na maji ya moto ya asali cause najipunguza kidogo
hihi hiii still new
1+1-1 jibu lake
sina unene wa kiivo ila niliongezeka uzito ,nilikuwa 65 over sudden nikawa 75 so nataka nirudi 65 maana hata nguo hazinienei napata hasara kununua nguo nyingine mkuu. si unajua nguo gharamaje wewe ni mnene sana mpaka unajipunguza?
una kilo ngapi?
brb soon