Mmong'onyoka wa maadili shule za msingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmong'onyoka wa maadili shule za msingi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Andrew Nyerere, Mar 19, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Kama kweli kuna matatizo katika shule za msingi kwamba kuna matendo maovu yanatokea;inafaa Wizara ya Elimu ifanye utafiti kujua, siyo nanai nafanya haya mambo ya ovyo,isipokuwa kujua asilimia ngapi ya wanafunzi wanafanya haya mambo. Watoto wa shule za Msingi kadhaa wapewe questionaire,waulizwe,'umewahi kulawiti? Kulawitiwa? Mara ngapi? Wataalamu wa Takwimu wanaweza kutayarisha maswali,ili ifahamike kama kuna matatizo au kama vipi?
  Sijui kama watakubali,ingawa inasemekana wazazi wanalia machozi wakisikia watoto wao wamefanya madudu shuleni. Most important sijui kama wanafunzi watakubali,kujibu maswali anonimously,kuiwezesha Serikali ijue kiwango cha tatizo.
   
 2. M

  Msayo Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu ganesh, hili ni miongoni mwa mambo yanayotuumiza sana vichwa wazazi wengi. Utandawazi una nafasi yake hapo, sasa hivi ukiangalia TV zetu hizi kwa dak 30 lazima ukutane na mambo ya ovyo. Aina ya walimu na maadili yao ni tatizo pia. Usiri wa watoto wenyewe, hawawezi kukueleza mzazi mambo wanayokutana nayo huku shuleni, (hata binti wa drs la nne akitongozwa haendi kumweleza mama yake)' ukijagundua mzazi mtoto "kishaharibikiwa".
   
Loading...