Jamani nasikia tu kuna pm,ila mimi cjui na gundu au sina mvuto au sifai au sina vigezo au mshamba,yani uwezi Amini cjai pata hata PM moja hata ya bahati mbaya sio vzr jombaah!!silazimishi ila mawazo yangu naomba ya heshimiwe!ni hayo 2

ukisikia kazi ndo hii!......worry out utapata nyingi kwanzia sasa mpaka ukimbie ...hukusomeka mwanzo!na simply coz hukuwaunapm wenzio!na wewe vibaya ivyo jamani!!