Mmmmhhhhhhhhh

Mmmmhhhhhhhhh

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,002
Reaction score
72,284
Dhambi sio ufisadi tu! Hata kumiliki wapenzi wawili wakati wenzio hawana hata mmoja sio Ebu waonee huruma wenzako wapate japo mmoja hata kama ni USED atamflash araaaaaaa
 
unazani utaonewa huruma hapo labda utumie njia mbadala!!!

Enjoy++

Dhambi sio ufisadi tu! Hata kumiliki wapenzi wawili wakati wenzio hawana hata mmoja sio Ebu waonee huruma wenzako wapate japo mmoja hata kama ni USED atamflash araaaaaaa
 
Kama ana domo zege atasaidiwaje Dinazarde!!! Na mwenye kisu ndo mkata nyama, wewe huna kisu unataka nyama, utakataje hiyo nyama? Haonewi huruma mtu hapo, njoo na kisu ukate size yako.🙂🙂🙂🙂
 
we vp kwan haujui kuwa every man should have 5 wives coz women wako weng sana yaan 1:5
 
Back
Top Bottom