Wana MMU nawasalimu!
(hasa Madame B)
(naombeni nitumie uandishi wa ki fb)
Kuna she mmoja rafiki yangu sana ana bf wake anaefanya kazi kwenye taasisi kubwa sana hapa tz. Tatizo linaanzia hapa! Jamaa kapiga mzigo weeeeeee hadi kaukinai(mtazamo wangu huu plz usijihusishe na hisia zangu). Mwishowe jamaa kaamua kupiga chini. . . . . . . .lakn she anaonekana kakolea kwa mchizi!
Jamaa anampa she mistreatment za kutosha, madisappointment za maana mf. mm ni msomi huniambi kitu, mm nina hela ww sibabaishi na mashori, mara anampa shori mwngne ampigie cm amchambe ooh kwann unawasumbua waume wa watu nk nk namaanisha ni nyng mno. Lakn pia jamaa anaweza kumwita she amsindikize sehemu na she akaenda(na bila shaka anapakua na mzigo pia). Jamaa anaweza kumwambia she naomba uje tuzungumze lakn jamaa haonekani km anaongea point(nahisi jamaa anajipozea kiujanja),
she akifika baada ya maongezi machache jamaa anasema nimepigiwa simu kazn kuna dharura then nduki. Kumbuka maongezi yote yanafanyika gheto!
Kwa kifupi she anatumika km mndoco then tupa kule(am a man am sure about the end of this game).
Najiuliza hv nyie dada zetu huwa hamung'amui muelekeo wa michezo mnayochezewa ama ndio mapenzi yanawakoleaga jamani?

Last edited by a moderator: