Mmmhhh. . . . . . . .huku ni kupenda ama ulimbukeni?

Mmmhhh. . . . . . . .huku ni kupenda ama ulimbukeni?

^^
Mwanamke hutumia muda mrefu kusahau kupenda..ila akisahau hata uweke 1 Telabyte card utaambiwa no disc inserted
^^
Word...hajui huyo kaka anahisi atapendwa daima wakat akihisi huyo dada ana umuhmu ndo huyo dada atakua hana habari nae
 
Wana MMU nawasalimu!(hasa Madame B)(naombeni nitumie uandishi wa ki fb)
Kuna she mmoja rafiki yangu sana ana bf wake anaefanya kazi kwenye taasisi kubwa sana hapa tz. Tatizo linaanzia hapa! Jamaa kapiga mzigo weeeeeee hadi kaukinai(mtazamo wangu huu plz usijihusishe na hisia zangu). Mwishowe jamaa kaamua kupiga chini. . . . . . . .lakn she anaonekana kakolea kwa mchizi!Jamaa anampa she mistreatment za kutosha, madisappointment za maana mf. mm ni msomi huniambi kitu, mm nina hela ww sibabaishi na mashori, mara anampa shori mwngne ampigie cm amchambe ooh kwann unawasumbua waume wa watu nk nk namaanisha ni nyng mno. Lakn pia jamaa anaweza kumwita she amsindikize sehemu na she akaenda(na bila shaka anapakua na mzigo pia). Jamaa anaweza kumwambia she naomba uje tuzungumze lakn jamaa haonekani km anaongea point(nahisi jamaa anajipozea kiujanja),
she akifika baada ya maongezi machache jamaa anasema nimepigiwa simu kazn kuna dharura then nduki. Kumbuka maongezi yote yanafanyika gheto!Kwa kifupi she anatumika km mndoco then tupa kule(am a man am sure about the end of this game).Najiuliza hv nyie dada zetu huwa hamung'amui muelekeo wa michezo mnayochezewa ama ndio mapenzi yanawakoleaga jamani?

Khaaaa! utadhani nilikuwa nasoma maandishi ya kiluga, kweli huko efubii kuna kazi.
 
Anampa usugu sio mba mafunzo muimu, ole wake ataeshika kijiti hatoamini
 
Umuhimu wa kitu huonekana pale kitu kikiwa hakipo...ivo huyo kaka afanye ivo kwasas maana ndo wakati wake,ila kuna muda utafika atatamani kurudisha siku nyuma...
 
mh hayo mambo yana mwisho, me nilimpenda mtu akawa ananisumbua sana nikawa km chizi yan had huwa cpend kukumbuka, ndg zangu walisema nna pepo hivyo nahtaj maombi bt niliwaambia nikiwa na huyo x wangu huyo pepo atatoka ntakuwa mzima, aliniweza aliniumiza sana alikuwa anafanya anavyojckia yy bt kla lenye mwanzo huwa na mwisho kuna cku alkuja hm bla sababu akachukua klcho chake huyoo akaondoka, nililia sana bt kuanzia cku hyo nilimtoa kabsaaa kwny moyo wng, nw klchobak ni samahani kbao bt amechelewa sana haijikutokea me kuwa nae
 
Sio tabia nzuri kama hamtaki amwambie tu;.
 
Back
Top Bottom