Mmmh...

Usikute jamaa aliomba apate mwenza wa kufanana nae....

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
😂😂
Ukitaka kujua Hawa wanadanganyana ukute wanaambiana baby wewe ni mzuri😂
Baby wewe ni handsome 😂😜
 
Ndio maana huwa naamini kuwa binadamu wote ni wazuri tu,ila swala ni mtizamo wa mtu binafsi,Unaposema huyu mwanamke ana sura mbaya wenzako wanamuona mzuri,wanachukua na wanafurahi tena hata zaidi yako wewe unaejiona unachukua hao unaowaona ni wazuri...
 
mtu na dadake........baada ya kuvunja amri ya sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…