Mmmh!!!!!

Ukiona huyu mwenye vijarida hivi kaandika ujue ni ujumbe direct kutoka Magufuli
 
Sasa hivi mkuu wa nchi kavurugwa sana. Sasa hizo habari gani? Juzi tulisikia waganga sijui wachawi wa kisukuma wanatoa vitisho daaah ukabila nje nje. Huyo Musiba ananikumbusha radio ya kangura ya Rwanda
 
Daaah maskini huyu dogo ,daah wtf is this!!!
Kuchafuana hivi too much..
Why on Earth hii toiket paper haifungiwi
 
Wakuu Me ni msomaji wa magazeti...mbona ilo gazeti ndo nalijua leo ¿kwan Linauzwa dar pekee?
From Kajunjumele
AF mbona Photoshop ina hisa (95%) nying kwenye ilo gazen...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…