ndo maana wanawake 'wasio jiamini' na maumbile na rangi zao wanaishia kujichuna na kutumia dawa za mchina..........Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?
Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?
Au?
Acha kabisa hii maneno ya Uhabeshi..horn of Africa.Somaliz can drive u crazy too...nasikia Maliz nao ni noma
Nipo na Ethiopian mmoja hapa college..dah unaweza kutangaza ndoa
Kuna rafiki yangu mmoja hapa,anadai ranking ya most beautiful gals in Africa....Mali ilikuwa ya kwanza,followed by Ethiopia,then Somali..Tanzania ilikuwa ya tano...idk the validity of this
Kama hiyo avatar ya FirstLasy1 ni ya kwake basi ni Mhabeshi....check tu kwa makini na kama unawajua Wahabeshi vema utagundua kuwa inafanana sana na the Habeshi galsHakuna cha Mali wala Ethiopia, watz tuko wako bomba bwana hebu mcheki FisrtLady1, siyo zaidi ya hao Wahabeshi?
Mie mwenyewe mutoto ya Kitanzania murembo nashindwa kusema neno juu ya hizo totoz za kihabesh
Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?
Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?
Au?
Hakuna cha Mali wala Ethiopia, watz tuko wako bomba bwana hebu mcheki FisrtLady1, siyo zaidi ya hao Wahabeshi?
Hivi ni vigezo gani mnatumia?
Kama hiyo avatar ya FirstLasy1 ni ya kwake basi ni Mhabeshi....check tu kwa makini na kama unawajua Wahabeshi vema utagundua kuwa inafanana sana na the Habeshi gals
Hakuna cha Mali wala Ethiopia, watz tuko wako bomba bwana hebu mcheki FisrtLady1, siyo zaidi ya hao Wahabeshi?
Hapo sidhani kama kunaitajika vigezo, manake mambo yote yapo wazi. Binafsi mabinti wote wa kihabeshi ambao nimeshawaona wote ni wazuri. Kuna kipindi nilikuwa pale Addis on transit to Kilimanjaro, nilihisi kama vile nimezungukwa na malaika, kwa masaa matano niliyokaa pale ilikuwa kama nipo peponi, nilijikuta nipo ndani ya mgahawa mmoja takribani masaa matatu bila kujitambua kisa tu mdada aliyekuwa anahudumu pale nilipata nafasi ya kuongea nae maneno mawili matatu. Natafuta namna nirudi kidogo pale Addis japo kwa wiki mbili manake ndo kwenye source ya uzuri. Kwa wale wanaoishi nje ya Tanzania itakuwa vigumu kuukataa ukweli kwamba awa viumbe wanatisha kwa sura na maumbile. Kwa vijana wenye nafasi na ambao hawajaoa sio vibaya wakatembelea maeneo hayo.
Siwajui kwa tabia na mengineyo ila kwa haraka haraka inaonekana ni ngumu kuwatoa kasoro, najua kuna wana JF waliobahatika ku-oa awa viumbe wanaweza kutupa data zenye ukweli.