Mmmh...wanawake mmezidi sasa

Habari wanajamii forum,hope ni wazima
Leo nataka niwahamasishe wanaume wenzangu tutafute pesa maana kuna ndoa nimeishuhudia hapana kwa kweli.Yaani binti kaolewa na babu yake sio baba ila sema huyo babu ana pesa sana sasa binti naye anajinadi kwa watu kwamba wanapendana sana na huyo babu,lakini mimi hapana haijaniingia akilini kabisa,yaani mdada mzuri unaolewa na mtu karibu na baba yake hivi hata story mnapigaje yaani huoni aibu hata kupiga stori romantic na mtu kama mzazi wako.......Hapana jamani hata kama mapenzi hayachagui umri,lakini mapenzi matamu ni ya kwa vijana kwa vijana
Haya wanaume wenzangu tukomae maana hawa watoto wazuri kila siku wanachukuliwa na wenye fedha zao,na nyie vibabu acheni mambo yenu ya kuwalaghai watoto wazuri kwa pesa zenu mnajua hampendwi wanazipenda hizo pesa zenu tu????
Wasaalamu
Hayo ni mawazo yako usipende kuwafanya watu wengine wafuate mtizamo wa kwako. Watu wanatofautiana sana na wanaona na wanakuwa na misimamo tofauti (we need to celebrate diversity in society/community). Dunia ni nzuri sana kwa kuwa watu wana mawazo na misimamo tofauti. Otherwise it could be very boring. Mawazo yako usifikilie kila mtu atayafata (huo ni msimamo wa kwako). Naona unaowaita wazee una usongo nao sana. Kuna vijana mambo yao wanashindwa na wale unaowaita wazee. Elimika kijana.
 
Huyo babu nae alikuwa kama wewe enzi anazitafuta hizo pesa...

Mpaka kuzipata ubabu ushamfika afanyaje sasa... Mwacheni ajilie...

Hata wewe mtoa mada usipotumia ujana wako vizuri kwa kutegemea mpaka siku utakapozipata utakuwa kama huyo unayemuita babu sasa hivi...

Japo maisha siyo kutesa kila siku, pesa ndiyo kila kitu...


Cc: mahondaw
Ofcooooooooooourse!!!!!

Santo sana Smart911 wamiye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom