Mapemzi hayana umri mtoto kapenda penzi la babu sio pesa. Kuna mzee ana 60 anamuoa binti 22 unaonaje, kipato chake cha kawaida na binti anachakarika na mama ntilie. Wataunganisha juhudi na kuwa moja, maisha yatasonga. Kwani binti haoni kijana mwenzake?
Vijana nasi hatujui majukumu yetu, acha waende wakatunzwe.... Sisi tunachokijali ni kuchat Instagram.... Kwani kupiga story ni zaidi ya pesa na maendeleo?
Sijathibitisha bado lkn kwa nilivyosikia ni kwamba, yule jamaa aliyeingia uwanjani na kumkumbatia Wayne Rooney, hadi leo amekataa kuoga, sasa hivi watu wanamkumbatia yeye na wanamlipa buku 1.
Sijathibitisha bado lkn kwa nilivyosikia ni kwamba, yule jamaa aliyeingia uwanjani na kumkumbatia Wayne Rooney, hadi leo amekataa kuoga, sasa hivi watu wanamkumbatia yeye na wanamlipa buku 1.
Iv uo ubabu wake anaula au anaubeba... Na akiwa kijana nambeba au cku hz kuna watu wanataka wanaume kwa ajil ya show off something which is abnormal mkifka ndan mnaangaliana kama tom na jerry... Tafuta mtu mzma wako mtulize tuli ukimkosea anakwambia unakua mpole maisha yanaenda vjana stress tu weng ndo kina marioo au hawana marinda nampeleka wap mm akat nataka kutunzwa na kutulizwa... No way vijana wapite mbali ingawa pia kuna watu wazma ovyo na vjana wastaarabu bt no way kulingana umr nalo ni tatzo kwenye ndoa..
Nafikiri majibu yanatosha mleta mada kaelewa,dunia ni mchanganyiko wa vijana na wazee,mzee kuwa na mahusiano na kijana haijaanza leo,lakini kwakuwa wewe.ni mdogo huwezi kuelewa.