Mmmh...wanawake mmezidi sasa

Hayo ni mawazo yako usipende kuwafanya watu wengine wafuate mtizamo wa kwako. Watu wanatofautiana sana na wanaona na wanakuwa na misimamo tofauti (we need to celebrate diversity in society/community). Dunia ni nzuri sana kwa kuwa watu wana mawazo na misimamo tofauti. Otherwise it could be very boring. Mawazo yako usifikilie kila mtu atayafata (huo ni msimamo wa kwako). Naona unaowaita wazee una usongo nao sana. Kuna vijana mambo yao wanashindwa na wale unaowaita wazee. Elimika kijana.
 
Ofcooooooooooourse!!!!!

Santo sana Smart911 wamiye
 
Mnasema mdada kazeeka, sijui desperate n. k babu kamuona baby wivu wa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…