Mmmh...wanawake mmezidi sasa

ha ha ha smart ila kuna kaukweli hapa
 
wanaume tumeubwa mateso mateso kuangaika .
ngoja tupambane maana BAHATI ni neno jingine tu linalomaanisha JUHUDI
 

Kama Wewe ni ' Mwanaume ' basi lazima tu utakuwa na ' Umama Umama ' mwingi. Punguza ' Wivu ' wa ' Kike Kike ' kwani huyo Mzee au hao Wazee wamekuambia ' Mikuyenge ' yao ' haikojoi ' mbele ya ' Mbunye ' za hao Mabinti wadogo wanaowabandua?
 
Hajambo kaka angu unaendeleaje lakinu
Bado nna hasira na niliyoyasikia siku ile...yaani dadangu anapigwa sound mbele yangu...natafuta manati nzuri nimeangalia ubungo mataa siku hizi hawaziuzi

germve himself
 
Mkuu ktk utafutaji tafuta mtu mwenye thamani kuanzia status mpaka jina, mtu asiyekuwa na njaa, mtu asiyekuwa na upendo kwa sababu ya kitu fulani namaanisha mtu aliyejitosheleza nyanja zote , kiuchumi , kijamii, kisiasa ,ki maadili n.k,

Mtoto kama rubii wa jf jina lenyewe tu la thamani , ahana na hao wapenda pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado nna hasira na niliyoyasikia siku ile...yaani dadangu anapigwa sound mbele yangu...natafuta manati nzuri nimeangalia ubungo mataa siku hizi hawaziuzi

germve himself
Ahhahah kaka vumilia tu mwenye dada hakosi shemeji ujue
 
Ahhahah kaka vumilia tu mwenye dada hakosi shemeji ujue
Najuta mbona Mimi Dada zao wananipiga vibuti...kama vipi komaa tuu na mhenga kunipunguzia wivu kidogo...ntakua namuona kama babu yetu mengine wala hatanisijue

germve himself
 
Wewe kinakuuma nini, kwani siwamependana wenyewe, au wewe ulitakeje?
 
Ha ha ha kwa hali hii tutafika kweli
 
Kuna kadada karafiki kangu kana miaka 23 kamezaa na baba mwenye miaka 43 yani mpaka aibu, nikichukulia alivyo mzr dah!
Pesa ni kitu kingine aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wale wanaijiita Chama cha maBoyfriend Wasumbufu Tanzania(CHABOWATA) na kauli mbiu yenu ya Ntakuoa mwakani mje mshuhudie huku wenzenu wanaolewa na babu zenu huku....sasa nyie endeleeni tu na msimamo wenu

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…