hata kama successor yupo, ila tatizo huwa ni kulinganisha. A na B, ila A alikuwa zaidi.
Ila ndo maisha lazima yaendelee hata bila A kuwepo lol.
Ila siku nyingine ndo unamkumbuka kama hivi leo.
ha ha ha, BADILI TABIA, kumbe najua lugha ya malkia?
Nadhani nimeshukiwa ukizingatia leo ilikuwa somo la kushukiwa roho huko kanisani.
Wee wifi, acha ukorofi.
Wakati mwingine ni nzuri kuwakumbuka ambao hawapo.
Konnie mie wangu bado hajaondoka ila hua nafikiria nisipoamua soon ataondoka alafu baadae ntamkumbuka mpaka nishangae.Lizzy
Mie hata kusema nimechelewa, lakini leo nimeona nisemee h
Ulishawahi ambiwa unapendwa afu hukutilia maanani, afu mtu akishaondoka ndio unajua alimaanisha? And it's too late huwezi mwambia tena?
Pole Kongosho for missing this person so much. But as the poem says, he/she is present with you every day. Wacha na mimi nichukue hii opportunity kum-dedicate a very dear friend or mine... He died 5 years ago and I still love him, still miss him, and I am sooooo sure he is with us everyday... I know Katastrophist feels the same about him too.
sema haraka, hata kama akiondoka lakini umemwambia ulichofikiri.
hata kama successor yupo, ila tatizo huwa ni kulinganisha. A na B, ila A alikuwa zaidi.
Ila ndo maisha lazima yaendelee hata bila A kuwepo lol.
Ila siku nyingine ndo unamkumbuka kama hivi leo.
Sasa nimwambie nini wakati anavyoonekana kunipenda mimi, mimi nampenda mwingine kwa style hiyo. Ngoja nione kama nimpendae hawezi kuwa wangu nipende nnapopendwa. Alafu na mie nikumbukwe siku moja. . . .MTIHANI!!
he he he, hapo huwa kazi.
Unapenda A, wakati A yupo yupo tu.
Afu huku na wewe B anakupenda wakati na wewe upo upo tu.
Hii huwa ni kachumbari.
Everything happens for a reason my dear! Kikubwa maisha yanaendelea..