faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
Kiukweli serikali
yetu ni mbovu sana ina mana imeshindwa kabisa kujua kua izi sector mbili
zinaingiliana kiutendaji wa kazi yani kila sector ina ratiba yake na
zinaingiliana. Aya jkt wanataka wanataka wanafunzi waende mafunzoni
tarehe 28 na vyuo vinafunguliwa tarehe 12 mwezi wa kumi ivi kiukweli
ukiangalia apa kuna cooperation among the sectors definitely utajua kua
hakuna sasa ndio nini kama sio kuchanganya watu ina mana wameshindwa
kujadiliana kwanza ndo wakatoa habari yani wanakuja kukubaliana wakati
wameshatangaza kwenye mitandao kama sio kukosesha watu amani ni nini
yani wanataka kuchanganya elimu na siasa kiukweli serikali yetu inafanya
vitu bila kua na mawasiliano baina ya sectors This is what we call poor
cooperation and cordination among the sectors....!
Kiukweli serikali yetu ni mbovu sana ina mana imeshindwa kabisa kujua kua izi sector mbili zinaingiliana kiutendaji wa kazi yani kila sector ina ratiba yake na zinaingiliana. Aya jkt wanataka wanataka wanafunzi waende mafunzoni tarehe 28 na vyuo vinafunguliwa tarehe 12 mwezi wa kumi ivi kiukweli ukiangalia apa kuna cooperation among the sectors definitely utajua kua hakuna sasa ndio nini kama sio kuchanganya watu ina mana wameshindwa kujadiliana kwanza ndo wakatoa habari yani wanakuja kukubaliana wakati wameshatangaza kwenye mitandao kama sio kukosesha watu amani ni nini yani wanataka kuchanganya elimu na siasa kiukweli serikali yetu inafanya vitu bila kua na mawasiliano baina ya sectors This is what we call poor cooperation and cordination among the sectors....!
kiukweli cha msingi apa ni kua na umoja kama hatuendi tusiende me mwenyewe nimechaguliwa ila siendi ndo msimamo wangu tarehe 12 nasubilia kwenda chuo na nimeshalipia direct cost
Hakuna mtu atakayechukua nafasi yako ya chuo..
Hakuna mtu atakayekula pesa zako za direct cost..
Lakini kuna mtu atachukua ajira yako kwa kigezo cha cheti cha jkt...
jamani twendeni tu jkt
Hakuna mtu atakayechukua nafasi yako ya chuo..
Hakuna mtu atakayekula pesa zako za direct cost..
Lakini kuna mtu atachukua ajira yako kwa kigezo cha cheti cha jkt...
jamani twendeni tu jkt
amna kitu cha namna hiyo coz ajira hizo zitakosekana serikalini tu na sio private sector ,mfano mzuri ni mzee wangu alisoma kipindi kile jkt iko serious but hakwenda na anafanya kazi katika shirika la serikali .Tanzania yetu ya leo ya rushwa mtu aende kuomba ajira aombwe certificate ya jkt hayo ni maajabu.so usiwadanganye watu hawatapata ajira .na ukisema twende jkt unakosea sema uende jkt coz haukuzaliwa na mtu.
si ndo apo bwana elimu ndo kila kitu kama unaenda jeshini we nenda lakini me naenda chuo wanataka kucheza na akili za watu yani mtu unaweza kutamani ata kuhama nchi
Hakuna mtu atakayechukua nafasi yako ya chuo..
Hakuna mtu atakayekula pesa zako za direct cost..
Lakini kuna mtu atachukua ajira yako kwa kigezo cha cheti cha jkt...
jamani twendeni tu jkt
Kwa hiyo unamaanisha wale walioapply vyuo mwaka huu lakini walihitimu f6 zamani hata wakisoma hawatapata ajira kisa JKT? Na wale wa miaka ya nyuma yetu tangu JKT ifutwe hawatapata ajira tena? Je una ushahidi wa mtu aliyenyimwa ajira kwa sababu ya JKT? Kumbe ajira ni kwa graduates wa 2016-----> tu,duuuh!