Mmmh..kumbe my gf ni member wa JF..Hataree

Mmmh..kumbe my gf ni member wa JF..Hataree

ahahahah!hamna tatizo mkuu,nilikuwa sijui so i was suprised..Lingebumbuluka kama ningemtongoza mara ya pili..hahahhhaha

ndo maana umejistukia kumbe hata tabia yako ina matege.
na ndio maana unajidai kuweka bit kwa kudhani kuwa kila mtu humu jf yupo kikutongoza zaidi.

 
ndo maana umejistukia kumbe hata tabia yako ina matege.
na ndio maana unajidai kuweka bit kwa kudhani kuwa kila mtu humu jf yupo kikutongoza zaidi.
hahahahah..kwan kutongoza dhambi mkuu?humu humu JF watu wanapata wake na waume..so ni kawaida tu..
 
Muda flani nilijikuta natumia laptop ya mai waifu mtarajiwa.Nikaperuzi kuingia Jf nikakuta id tofauti nikastuka kidg.Ktk kudadisi kwangu nikagundua ni yake sababu alitoka kutumia laptop muda mchache uliopita then nikalog out nikaendelea na shughuli zangu.Sasa kwa wale wakware mnaojifanya wazee wa kugegeda siwatajii id yake ng'o mana wengine mkishagundua ni mali ya mtu ndo spidi inaongezeka..hahahahah cc mzabzab

hahahha mie wala sina ahida ya kumgegeda demu yako lol....au wee ndio kidume wa amu?
 
Good very good kijana waambie kua unayo na password wakae mbali na wife to b ona wanavyokuonea wivu na wife to b wako cheki wanavyo kurushia mawe safi sana kesho wakimtokea rusha hewani majibizano yao wasikuzoee
 
Back
Top Bottom