Jana was chatting na mshkaji, ana two kids na wote wana iPhones, 16 and 17 yrs olds. Yaani management ya hizo iPhones ni kama fbi. Anawamonitor kwa gps. Kuna siku mmoja alizima gps na baba akajua after two days, voda walihusika kusoma signal za minara na akampokonya simu 2 months. Yaani huu ulezi wake ingebidi afanye outsourcing aisee.