M mzee wa misele JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 366 Reaction score 46 Jul 24, 2015 #1 habari jamani, nimetokea kulipenda jukwaa ili , nimevutiwa na ID za wadada japokuwa sijawaona naomba tafadhali wadada wote mlioko humu mniPM ili tuwasiliane zaidi
habari jamani, nimetokea kulipenda jukwaa ili , nimevutiwa na ID za wadada japokuwa sijawaona naomba tafadhali wadada wote mlioko humu mniPM ili tuwasiliane zaidi
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Jul 24, 2015 #2 Labda wadada wengine lakini girlfriend wangu alieko huku jf katu hatokutumia PM!
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jul 24, 2015 #4 wote utawatumia bundle au?!
Benny JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 3,275 Reaction score 5,420 Jul 24, 2015 #5 ukitaka wadada wote wakupm kwanza weka picha ya gari lako
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,570 Jul 24, 2015 #6 Tuku pm tukwambiaje?