Mmmh Anayatoa Anayaongeza??....

Tangazo hilo linareflekti jamii iliyobakwa na ujinga, umaskini na makandokando kama hayo!
 
Hakuna pepo linalotoa pepo. Ni washkaji na kanuni yao kubwa ni kulindana kimkakati na kimaslahi.
 
Kuvuta mpenzi shimoni,
Utajiri benki.
Kuondoa mikosi na kisirani upuuzi mtupu kisirani wakwanza ni huyo mganga na majini yake. Hawa jamaa wanatandaza mabango mji mzima na serikali haisemi chochote. Au ndio ajira milioni moja hizi.??
 
Reactions: awp

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…