Mmiliki wa IPTL atema cheche

Voltaire, mwanfalsafa na mwandishi wa Kifaransa aliwahi kusema 'utumwa ndiyo kitu anachokitaka mtumwa' kweli kabisa.
 
Mbivu na mbichi zitajulikana tu, mwisho wa siku akina MEENGI watatajwa alivyohusika kuhujumu mjadala wa ESCROW. Niwaulize wapendwa LUDOVICK UTHO ni kabila gani, isije ikawa wanatoka mkoa mmoja na MENGI, MBOWE, MNYIKA n.k

Kauli zako huwa zinafanya nakufikiria kama ni mwanaume usiye na uume au.mwanamke usiye na uke! Yaani upo upo tu kama kopo ya choo!
 
linakiburi sana hilo lijamaa "unafikiri mimi muhindi?" ....

Kwa sababu limeiweka serikali mfukoni.
Huyu alikuwa ni wa kukamata siku nyingi awe ananyea ndoo tu.
Mambo kama haya serikali inatakiwa ionyeshe nguvu yake lkn hapa serikali imeshindwa na only a Single person.
Tiwa MFUKONI

Mtanzania mwekezaji Mhehe mwenye asili ya ASIA lkn yeye si Mhindi, paaambafu.
 
Kwani Mnyika anatoka mkoa mmoja na Mbowe & Mengi..?
sosoliso huna habari Wapare wanatoka Mkoa mmoja na Mbowe kina anna Kilango na wengine na huko kuna vikabila vidogovidogo km Wamachame, Wagweno, Wasangi, waMbaga
 
Last edited by a moderator:
Aliekuambia Mnyika anatokea Kilimanjaro ni nani..?
Ok mm sikujua kuwa Mnyika katokea Kondoa maana huko wamejaa Mrijo Chini
Kila siku nilijua ni Mpare na kutokana na ubishi wake nikaamini Upareni ipo Kilimanjaro
sasa kumbe ni Tanga Oppps Dodoma haya ngoja nikutafutie CV kwa BMT pale Dodoma
 
Ok mm sikujua kuwa Mnyika katokea Kondoa maana huko wamejaa Mrijo Chini
Kila siku nilijua ni Mpare na kutokana na ubishi wake nikaamini Upareni ipo Kilimanjaro
sasa kumbe ni Tanga Oppps Dodoma haya ngoja nikutafutie CV kwa BMT pale Dodoma

Mnyika ni Msukuma wewe.. Acheni ukabila huo..
 
mjuwekezaji gani anawekeza 100 harafu anakwiba 150 hana faida hata kidogo acha akawekeze nchi zingine

Mkuu ngajapo hajaeleza fedha za kumulipa ruge alizipata wapi anaeleza kuwa anauza umeme bei ndogo hoja iliyopo mezani yy haijui, atueleze haowaliochota pesa huko stanibic ni akina nani, yy lazima anawajua, kwanza angekuwa segerea ndiyo angejua kuwa inchi inawenyewe lakini ndiyo hivyo wakubwa ndiyo WEZI.
 
Back
Top Bottom