Mmiliki wa gari ambalo Lissu alilitaja kwa kutumia plate number zake amewahi kulalamika?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Kama mmiliki wa gari ambalo Lissu alitaja hdharani namba zake za usajili alisingiziwa kuwa gari yake ndio ilikuwa inatumika kufuatila movement za Lissu, bila shaka mmliki husika angeshajitokeza hadharani na kukana na pengine kulalamika na hata kutaka kuchukua hatua za kisheria.

Maswali:
Je,muhusika(mmiliki wa gari husika) amejitokeza na kukana madai ya Lissu?

Kama hajajitokeza,kwanini tusiamini Lissu alikuwa sahihi kwa asilimia 100 kuwa anafuatiliwa na aliowatuhumu?

Je,watu hawa wameacha kumfuatilia au wamebadili mbinu?

Tuko salama kweli?
 
Naamini kuwa Lisu alifanya vyema tu kuwaarifu kuwa, hawapo makini na kazi zao. Ka kweli mnamfuatilia mtu, huwezi kujionesha kihivyo. Inaonesha askari wetu hawajui kazi yao. Siwapuuzi ila labda wanaona kuwa wanaye mfuatilia huenda ni zero kufikiri kabisa, hivyo hata hawezi ng'amua kuwa anafuatiliwa.
 
Kama mmiliki wa gari ambalo Lissu alitaja hdharani namba zake za usajili alisingiziwa kuwa gari yake ndio ilikuwa inatumika kufuatila movement za Lissu, bila shaka mmliki husika angeshajitokeza hadharani na kukana na pengine kulalamika na hata kutaka kuchukua hatua za kisheria.

Maswali:
Je,muhusika(mmiliki wa gari husika) amejitokeza na kukana madai ya Lissu?

Kama hajajitokeza,kwanini tusiamini Lissu alikuwa sahihi kwa asilimia 100 kuwa anafuatiliwa na aliowatuhumu?

Je,watu hawa wameacha kumfuatilia au wamebadili mbinu?

Tuko salama kweli?
Ajitokeze ili ajulikane Mkuu??
Hata mie ningejificha tu,
 
Kama mmiliki wa gari ambalo Lissu alitaja hdharani namba zake za usajili alisingiziwa kuwa gari yake ndio ilikuwa inatumika kufuatila movement za Lissu, bila shaka mmliki husika angeshajitokeza hadharani na kukana na pengine kulalamika na hata kutaka kuchukua hatua za kisheria.

Maswali:
Je,muhusika(mmiliki wa gari husika) amejitokeza na kukana madai ya Lissu?

Kama hajajitokeza,kwanini tusiamini Lissu alikuwa sahihi kwa asilimia 100 kuwa anafuatiliwa na aliowatuhumu?

Je,watu hawa wameacha kumfuatilia au wamebadili mbinu?

Tuko salama kweli?
Hivi ulitegemea kila upuuuuzi aongeao huyo kamanda wenu utolewe maelezo?? Yeye TL aitishe press tena kisha aongelee, hapa hapati airtime, apambane na hali yake tu!
 
Back
Top Bottom