"Katiba ya Jamuhuri ya Muungano inasema, mamlaka ya utoaji haki itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama Zanzibar na kwa hiyo hakuna chombo cha serikali wala Bunge au Baraza la Wawakilishi kitakachokuwa na kauli ya mwisho katika utoaji haki," alisema Muccadam akinukuu kifungu hicho.